Zipo lugha ambazo hujawahi kuzisikia, na ladha nzuri zinazo tofautiana na wewe.
Zingatia utofauti huo na jinsi ya kutambua mambo yanayo kuwezesha kumjua Muumbaji.
Kisha jikurubishe kwa kujua neno moja tu, na kujiuliza kwa umuhimu wake, na sikiliza mazungumzo mbali mbali, unaweza kupata wepesi wa mambo katika wakati ambao ulikuwa katika upweke mkubwa!
MAZINGATIO:
Kuna mambo muhimu ya kuzingatia katika uzuri wa aina mbali mbali za viumbe wa Allah.
related cards
Browse Islamic cards