Utengano huleta udhaifu na majanga.Na umoja wa kweli huziunganisha nyoyo na kueneza huruma kwa watu.Basi, shikamaneni kwa yale yanayo leta umoja wenu, kwani hii ni neema kubwa isiyopimwa kwa chochote.MAZINGATIO:Umoja na kusuluhisha ni nuru ya Qur’an
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi