​ Kutoa sadaka katika mizani ya kidunia huonekana ni kupungukiwa.

​  Kutoa sadaka katika mizani ya kidunia huonekana ni kupungukiwa.

​ Kutoa sadaka katika mizani ya kidunia huonekana ni kupungukiwa.

15 12

Kutoa sadaka katika mizani ya kidunia huonekana ni kupungukiwa.Lakini katika mizani ya Allah ni chanzo kikubwa  cha wingi wa mafanikio.Mtu anapotoa punje ndogo tu, basi huenda ikazalisha mashamba mengi ya kheri bila kutegemea.MAZINGATIO:Sadaka na kutoa katika kheri ni nuru ya Qur’an.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki