Nguvu za kweli hazipatikani katika ususuavu (ugumu) wa moyo.

Nguvu za kweli hazipatikani katika ususuavu (ugumu) wa moyo.

Nguvu za kweli hazipatikani katika ususuavu (ugumu) wa moyo.

13 9

Nguvu za kweli hazipatikani katika ususuavu (ugumu) wa moyo. Bali zipo kwenye moyo unaojua namna ya kulainika.Siku zote watu huupenda na kuukaribia moyo wenye huruma, na hujitenga na moyo mgumu usio na huruma.MAZINGATIO:Huruma na tabia njema ni nuru ya Qur’an.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki