Uzuri ulioje katika kutoa! Hakika unapotoa huwezi kuona matunda yake yote, lakini Allah anayaona, na hujaalia kutoka katika vichache na kuwa kheri nyingi zenye kuongezeka maradufu.MAZINGATIO: Ukarimu na kujitolea katika kheri ni nuru ya Qur’an.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi