Rafiki yako anaweza kukucheka kutokana na lahaja ya lugha yake, kisha akarudi nyumbani kwake akiwa na uzito sana wa nafsi yake.
Tabasamu yake haimaanishi kuwa maneno mabaya hayamuumizi.
Basi ni vizuri kufanya vikao vyetu kuwa ni sehemu ya mtu kujihisi ni mwenye kuheshimiwa na si sehemu ya kuchekwa au kudharauliwa!
MAZINGATIO:
Ni wajibu wetu kuheshimiana bila ya kudharauliana.
related cards
Browse Islamic cards