Allah Mtukufu ndiye Mjuzi wa viumbe wake, Mjuzi wa kila kitu."

Allah Mtukufu ndiye Mjuzi wa viumbe wake, Mjuzi wa kila kitu."

Allah Mtukufu ndiye Mjuzi wa viumbe wake, Mjuzi wa kila kitu."

4 2

Allah Mtukufu ndiye Mjuzi wa viumbe wake, Mjuzi wa kila kitu alicho kiumba, naye ni Mpole, Mwenye khabari za hali zote za kila kiumbe.

Basi tujue kuwa hakuna ponyo wala raha isipo kuwa kutoka kwake tu, na ni wajibu wetu kuwa na yakini na hekima zake na rehema zake katika kila jambo.

Tunachojifunza:

Ujuzi wa Allah juu ya viumbe wake ni mkubwa, ni wajibu kumtegemea Allah na kumuamini.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki