Tafakuri ya Nabii Ibrahim- Amani iwe juu yake- katika mbingu na ardhi ilikuwa ndiyo njia yake ya kupata yakini.
Mwanaadam kila anapo tazama ukubwa wa viumbe wa Allah humzidishia yakini juu ya uwezo wa Allah na utukufu wake.
Hivyo basi, ni wajibu wetu kuziboresha imani zetu kwa kutafakari viumbe wa Allah.
Tunachojifunza:
Imani ni msingi wa kupata yakini na mazingatio.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi
