​Merikebu zinazo pita baharini ni ukumbusho kwetu juu."

​Merikebu zinazo pita baharini ni ukumbusho kwetu juu."

​Merikebu zinazo pita baharini ni ukumbusho kwetu juu."

133 79

Merikebu zinazo pita baharini ni ukumbusho kwetu juu ya utukufu wa Allah, ambaye ametudhalilishia kila kitu katika hii dunia, ili tumshukuru Yeye juu ya neema zake ambazo hazi hesabiki wala kudhibitika kwa idadi.

 

MAZINGATIO:

Ni wajibu kumshukuru Allah kwa neema zake

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates