Ukhalifa katika ardhi ni kubeba majukumu na si kutukuzwa tu.
Mwanaadam ameumbwa ili aiboreshe dunia, si kufanya uharibifu. Na ameletwa duniani ili ausimamishe uadilifu na si kufanya mauaji kwa kumwaga damu za wengine.
Basi, kuwa Khalifa wa kusimamia haki, kama alivyo kutaka Allah, na si vinginevyo
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi