​Allah ametufanya Makhalifa (Viongozi) katika ardhi

​Allah ametufanya Makhalifa (Viongozi) katika ardhi

​Allah ametufanya Makhalifa (Viongozi) katika ardhi

21 14

Allah ametufanya Makhalifa (Viongozi) katika ardhi ili tuijenge vizuri na si kuiharibu.

Je, Sisi tunaitekelezaje amana hii ambayo Allah ameiweka katika mikono yetu?

MAZINGATIO:

Ni wajibu kuichunga amana ya ukhalifa katika ardhi.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki