Kufahamiana kunaweza kuanza kwa kumuuliza mwenzako."

Kufahamiana kunaweza kuanza kwa kumuuliza mwenzako."

Kufahamiana kunaweza kuanza kwa kumuuliza mwenzako."

1 1
Tags Ili mjuane

Kufahamiana kunaweza kuanza kwa kumuuliza mwenzako jina lake unaposwali naye karibu, lakini hayo huzidi wakati tunaposikilizana maongezi.

 

Kutofautiana kwa asili zetu ni fursa pia ya kukaribiana, na si sababu ya kujikweza kati yetu.

 

Tutambue kuwa kinachompandisha mtu daraja ya utukufu mbele ya Allah si nasabu yake, bali ni uchamungu wake.

Huenda katika kufahamiana na mwenzako yapo mengi ya kujifunza katika kukunjua moyo wako!

 

MAZINGATIO:

Jifunze njia mbali mbali za kufahamiana

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates