Swafu ya swala inaweza kutuunganisha,"

Swafu ya swala inaweza kutuunganisha,"

Swafu ya swala inaweza kutuunganisha,"

1 1
Tags Ili mjuane

Swafu ya swala inaweza kutuunganisha, na kutenganishwa na neno moja tu gumu (lisilofurahisha).
Kumpa mwenzako ujumbe wa kumuomba radhi, au ukunjufu wa moyo, kunaweza fungua mlango wa suluhu.
Enyi ndugu zangu, tunatakiwa kujaribu kufungua njia za mahusiano mema na kuacha tofauti zisichukue nafasi ya kubadilisha uhusiano wetu kutoweka kwa kipindi kirefu!
 
MAZINGATIO:
Undugu wetu wa kweli ndio ngao yetu ya kutuunganisha

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates