Haki unayoirudisha kwa mwenzako hata unapo tofautiana naye, na msaada unaompa bila ya masimango, na kumuulizia ndugu yako wa karibu, haya yote huboresha uhusiano mwema wa maisha.
Hivi ndivyo utakuta heshima ina shika nafasi yake kila siku.
Na katika haya mambo madogo yaliyo bainishwa hapa, yanaweza kuonesha kuwa karibu na wengine ndio jambo la kweli kuliko kuzungumzia tu!
related cards
Browse Islamic cards