Allah ndiye aliye muumba mwanaadam.
Naye ndiye aliye mfundisha namna ya kujieleza na kuwasiliana.
Je, tunazitumia neema za elimu ya ubainifu tulio pewa katika mambo yanayo mridhisha Yeye?
MAZINGATIO:
Ni wajibu kuikumbuka neema ya ubainifu tuliyo pewa na Allah katika mambo anayo yaridhia
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi