Katika vipindi vya misiba, haitakiwi kusema sema maneno ya upuuzi! bali inatosha tu kuzingatia kwa Yakini na kurejea maneno mazuri kwa kusema: “Sisi ni wa Allah, na kwake Yeye tutarejea” ndani ya maneno hayo ndiyo ishara ya kujisalimisha kwa Allah na kuridhia qadar yake na kupata utulivu wa nafsi.
MAZINGATIO:
Umuhimu wa kujisalimisha na kurejea kwa Allah kwa kuridhia qadar yake katika vipindi vya misiba
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi