Waumini ni ndugu! Na mapenzi hayajengwi kwa magomvi.

Waumini ni ndugu! Na mapenzi hayajengwi kwa magomvi.

Waumini ni ndugu! Na mapenzi hayajengwi kwa magomvi.

12 7

Waumini ni ndugu!Na mapenzi hayajengwi kwa magomvi.Inapotokea sintofahamu baina yenu, basi fanyeni kila linalo wezekana kusuluhisha kwa uadilifu, kwani Allah anawapenda wanaofanya uadilifu baina ya watu.MAZINGATIO:Tabia njema na kusuluhisha baina ya watu ni nuru ya Qur’an.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki