Uislamu haumlazimishi mtu kuamini, bali unatangaza haki kwa uwazi kwa kusema:
“Basi atakaye, aamini. Na atakaye, akatae”.
Uhuru katika uislamu ni uhuru wa kutafuta ukweli, siyo kuukimbia.
MAZINGATIO:
Uhuru ni maamuzi ya kuchagua, kwani haki inatoka kwa Mola wenu Mlezi tu
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi