Maisha mema hayaji kutokana na mali au cheo, bali kwa imani na matendo mema.
Kila tendo jema, dogo au kubwa unalo lifanya ujue huandikwa kwa Allah kwa kupata malipo makubwa.
MAZINGATIO:
Ni wajibu wetu kutenda mema ili kupata maisha mazuri
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi