​Kila kilichomo mbinguni na ardhini kimewekwa na Allah."

​Kila kilichomo mbinguni na ardhini kimewekwa na Allah."

​Kila kilichomo mbinguni na ardhini kimewekwa na Allah."

18 11

Kila kilichomo mbinguni na ardhini kimewekwa na Allah ili kiturahisishie katika maisha yetu katika mihangaiko yetu ya kutafuta riziki, na tuweze kushukuru neema zake.

Hivyo basi, tabia ya kutafakari katika viumbe vya Allah inatufungulia milango ya kuujua uwezo wa Allah na kujitambua kwa kufanya matendo mema.

MAZINGATIO:

Ni wajibu kutafakari katika viumbe vya Allah

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki