Noor International
Hakika, Allah anakuamrisheni kurudisha amana kwa wenyewe
Hakika, Allah anakuamrisheni kurudisha amana kwa
wenyewe, na mnapo hukumu baina ya watu mhukumu kwa uadilifu. Hakika,
mazuri mno anayokuwaidhini Allah ni hayo. HakikaAllah ndiye Mwenye
kusikia, Mwenye kuona
761