Na nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anaye mzulia uwongo Allah."
Na nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anaye mzulia uwongo Allah au anaye kanusha Haki inapo mjia? Je! Si katika Jahannamu ndio yatakuwa makaazi ya makafiri?
Na wanaofanya juhudi kwa ajili yetu, Sisi tutawaongoa kwenye njia zetu. Na hakika Allah yu pamoja na watu wema
49
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo