Hakika, Mola wenu Mlezi ni Allah ambaye ameumba mbingu na ardhi katika."
Hakika, Mola wenu Mlezi ni Allah ambaye ameumba mbingu na ardhi katika siku sita, kisha akalingana sawa juu ya Arshi, anaendesha mambo yote, hakuna muombezi yeyote (atakayekubaliwa uombezi wake) isipokuwa baada ya idhini yake tu. Huyo, kwenu nyie, ndiye Allah, Mola wenu mlezi, basi muabuduni. Hivi hamuonyeki?
2
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo