Si jukumu lako kuwaongoa, lakini Allah humuongoa amtakaye."
Si jukumu lako kuwaongoa, lakini Allah humuongoa amtakaye. Na heri yoyote muitoayo, basi ni kwa (manufaa ya) nafsi zenu. Na msitoe ila kwa kutafuta wajihi (radhi) za Allah, na heri yoyote mtakayotoa mtarudishiwa kamili, nanyi hamtadhulumiwa
70
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo