Basi ni kwa rehema za Allah umekuwa mpole kwao,"
Basi ni kwa rehema za Allah umekuwa mpole kwao, na lau ungekuwa muovu wa tabia, mwenye moyo mgumu, bila ya shaka wangekukimbia, basi samehe na uwaombee msamaha na watake ushauri katika jambo, na ukitia azma ya jambo basi mtegemee Allah, hakika Allah anawapenda wenye kumtegemea
47
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo