Na (makafiri) wakitaka kukuhadaa (kwenye suluhu na amani) basi Allah."
Na (makafiri) wakitaka kukuhadaa (kwenye suluhu na amani) basi Allah anakutosha (dhidi ya hila na khiyana zao). Yeye (Allah) ndiye aliyekupa nguvu kwa nusra yake na kwa waumini
Na ameziunganisha nyoyo zao[1]. Lau kama ungetoa vyote vilivyomo duniani usingeweza kuziunganisha nyoyo zao, lakini Allah ndiye aliyewaunganisha[2]. Hakika, Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima
66
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo