​Kujaribiwa si ishara ya kuchukiwa na Allah,"

​Kujaribiwa si ishara ya kuchukiwa na Allah,"

​Kujaribiwa si ishara ya kuchukiwa na Allah,"

21 12

Kujaribiwa si ishara ya kuchukiwa na Allah, bali ni fursa ya kupanda daraja la juu kwa wenye subira.

Khofu, njaa, na upungufu wa vitu mbali mbali, vyote hivyo ni masomo muhimu katika kumuamini Allah Mtukufu.

MAZINGATIO:

Ni wajibu kujifunza katika majaribio na kuwa na subira

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki