​Na ikiwa mna shaka na kile tulichomteremshia mja wetu,"

​Na ikiwa mna shaka na kile tulichomteremshia mja wetu,"

​Na ikiwa mna shaka na kile tulichomteremshia mja wetu,"

111 13

Na ikiwa mna shaka na kile tulichomteremshia mja wetu, basi leteni Sura (moja tu) iliyo mithili yake, na waleteni mashahidi wenu badala ya Allah ikiwa nyinyi ni wa kweli

Na msipofanya (hivyo) na kamwe hamtaweza kufanya (hivyo), basi uogopeni Moto ambao nishati yake ni watu na mawe, ulioandaliwa kwa ajili ya makafiri

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki