Muumini anaishi maisha mazuri si kwa sababu ya vile anavyo miliki, bali ni kwa sababu ya matendo yake mema.
Hivyo basi, ikiwa utatenda mema kwa ukweli na imani, utapata malipo makubwa yasiyo weza kulingana na matendo yako.
MAZINGATIO:
Matendo mema yana malipo makubwa
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi