Mapambo ya dunia yana fanana na mmea ambao unavutia machoni kwa muda, kisha unakauka haraka.
Usiufanye umri wako kuangamia kwa vitu vyenye kupita, bali tafuta yatakayo baki nawe baada ya kuondoka katika haya maisha ya dunia.
MAZINGATIO:
Tuchukue mazingatio katika haya maisha yanayo ondoka
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi