​Na (ni haramu kwenu) wanawake walio katika ndoa isipokuwa wale ."

​Na (ni haramu kwenu) wanawake walio katika ndoa isipokuwa wale  ."

​Na (ni haramu kwenu) wanawake walio katika ndoa isipokuwa wale ."

0 0

Na (ni haramu kwenu) wanawake walio katika ndoa isipokuwa wale mliowamiliki kwa mikono yenu ya kuume[1], (hili) Allah ameandika kwenu, na mmehalalishiwa (wanawake) wasiokuwa hawa mtake kwa mali zenu, kujilinda na kutofanya zinaa. Na wale (wake) mliokaa nao faragha (baada ya ndoa) kati ya hao, wapeni mahari yao ni lazima. Na si vibaya kwenu kwa mliyoridhiana katika yale yaliyotajwa[2]baada ya kutimiza wajibu, hakika Allah ni mjuzi mwenye hekima

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki