Lau kama watu wataamini na kumchamungu basi baraka za mbinguni na ardhini zitawafungukia, lakini wanapo kanusha haki husababisha kuangamizwa.
MAZINGATIO:Kushikamana na imani na uchamungu ni sababu ya kupata baraka na mafanikio katika maisha Imani na ucha Mungu huleta baraka kutoka kwa Allah.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi