​Enyi mlio amini! Nawakutakeni idhini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia."

​Enyi mlio amini! Nawakutakeni idhini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia."

​Enyi mlio amini! Nawakutakeni idhini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia."

0 0

Enyi mlio amini! Nawakutakeni idhini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia na walio bado kubaleghe miongoni mwenu mara tatu - kabla ya Sala ya alfajiri, na wakati mnapo vua nguo zenu adhuhuri, na baada ya Sala ya ishaa. Hizi ni nyakati tatu za faragha kwenu. Si vibaya kwenu wala kwao baada ya nyakati hizi, kuzungukiana nyinyi kwa nyinyi. Hivyo ndivyo Allah anavyo kuelezeni Aya zake, na Allah ni Mjuzi Mwenye hekima

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki