Allah haangamizi miji isipo kuwa pale uovu unapo endelea kufanywa na watu wake.
Lakini watu wake wakiwa wema, huwa anawalinda na kuwahifadhi.
Basi, ni wajibu wetu wote kutengeneza hali zetu na kuwa wema
.MAZINGATIO:Kufanya mema ndiyo kheri.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi