Utoaji bora hausubiri muda maalumu, bali huwa wakati wowote, na huwa katika kipindi cha usiku, au mchana, kwa siri au dhahiri.Moyo unapojawa na mapenzi ya kufanya kheri basi hupata njia ya kuwajali na kuwathamini wengine.MAZINGATIO:Ukarimu na kutoa katika mambo ya kheri ni nuru ya Qur’an.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi