Kiongozi bora huwa hawatukani watu, bali huwa na tabia ya kusamehe, na kusikiliza na kushauriana katika mambo.
Nyoyo hujengwa kwa tabia hizo njema, kabla ya kujenga maazimio yoyote.MAZINGATIO:Uongozi bora na tabia njema ni nuru ya Qur’an.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi