Kuna watu duniani huwa ni watulivu wakati wa mchana, lakini nyoyo zao huwa hai wakati wa usiku.
Katika kipindi ambacho watu wamelala, basi wao wanasimama usiku mbele ya Allah kwa kumuabudu, kwani katika nyakati hizo ndipo nyoyo njema hutengenezwa.MAZINGATIO:Ibada za usiku ni nuru ya Qur’an.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi