Waja wema ni wale wanaotembea kwa staha (utulivu)…Hawatafuti ushindi katika kila mjadala, wala hawajibu ujinga kwa ujinga.Nyoyo zao zimechagua amani, kwa sababu kujikurubisha kwa Allah, ni jambo muhimu kwao kuliko kusema sema ovyo!MAZINGATIO:Unyenyekevu ni nuru ya Qur’an.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi