​Mizani ya akhera ni adilifu: jema moja humuongoza ."

​Mizani ya akhera ni adilifu: jema moja humuongoza ."

​Mizani ya akhera ni adilifu: jema moja humuongoza ."

29 18

Mizani ya akhera ni adilifu: jema moja humuongoza mtu kwenye malipo makubwa, na kwa ovu hatolipwa mwenye nalo ila kwa vile alivyo fanya.

Fursa ya leo(duniani) ni kuwa makini katika kuchagua yale mambo ya kubeba yatakayo kunufaisha kesho(akhera).

MAZINGATIO:

Matendo mema ndio njia ya wokovu

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki