​Hasara kubwa ni umri kupita katika kujisahau."

​Hasara kubwa ni umri kupita katika kujisahau."

​Hasara kubwa ni umri kupita katika kujisahau."

26 13

Hasara kubwa ni umri kupita katika kujisahau. Kisha mtu kuzinduka katika wakati ulio kwisha!

Majuto katika siku ya kiama hayatofaa, basi anza leo kufanya yale yatakayo kuokoa kesho!

MAZINGATIO:

Ni muhimu kuwa na mazingatio ya kujiandaa na nyumba ya akhera

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki