Hasara kubwa ni umri kupita katika kujisahau. Kisha mtu kuzinduka katika wakati ulio kwisha!
Majuto katika siku ya kiama hayatofaa, basi anza leo kufanya yale yatakayo kuokoa kesho!
MAZINGATIO:
Ni muhimu kuwa na mazingatio ya kujiandaa na nyumba ya akhera
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi