Je! ni nyoyo ngapi zilizo jiweka mbali na kumkumbuka Allah,"

Je! ni nyoyo ngapi zilizo jiweka mbali na kumkumbuka Allah,"

Je! ni nyoyo ngapi zilizo jiweka mbali na kumkumbuka Allah,"

26 14

Je! ni nyoyo ngapi zilizo jiweka mbali na kumkumbuka Allah, mpaka zikawa ngumu na kususuwaa, hali ya kuwa bado wito wa Allah, Mola Mlezi wa viumbe unawaita na kuzitaka zirudi katika unyenyekevu.

Je! haujafika wakati kwa nyoyo hizo kunyenyekea?

MAZINGATIO:

Umuhimu wa kuzizindua nyoyo kutokana na kujisahau, katika kumkumbuka Allah

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki