​Mwenye kusimama imara katika haki, Allah humpa bishara njema."

​Mwenye kusimama imara katika haki, Allah humpa bishara njema."

​Mwenye kusimama imara katika haki, Allah humpa bishara njema."

16 14

Mwenye kusimama imara katika haki, Allah humpa bishara njema ya kuingia Peponi, hatopunjwa humo kwa chochote.

Malaika watamuita kwa utulivu, na kuandaliwa kila linalo pendwa na nafsi yake katika maisha ya dunia na katika maisha ya akhera.

MAZINGATIO:

Pepo ni malipo ya kuwa na

msimamo thabiti katika dini

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki