Kusimama imara katika imani, kutakupa amani daima ndani ya moyo na kusalimika na majanga ya duniani, vile vile ni sababu ya kupata Pepo ambayo ndiyo tumainio lako kubwa huko Akhera.
Kumbuka: Malaika huwa nawe katika kila hali, hii ni faida kubwa inayotokana na kuwa na msimamo thabiti katika dini.
MAZINGATIO
Ni wajibu kusimama imara katika Imani
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi