Usikiuke mipaka katika mihangaiko yako, kwani Allah anakuona kwa kila unalo litenda.
Simama imara katika yale uliyo amrishwa, na kwa hakika utaokolewa na majanga ya duniani na Akhera.
MAZINGATIO:
Ni wajibu kushikamana katika toba na msimamo thabiti wa dini ili kupata salama ya majanga ya duniani na Akhera
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi