Merikebu zinazo pita baharini ni ukumbusho kwetu juu ya utukufu wa Allah, ambaye ametudhalilishia kila kitu katika hii dunia, ili tumshukuru Yeye juu ya neema zake ambazo hazi hesabiki wala kudhibitika kwa idadi.
MAZINGATIO:
Ni wajibu kumshukuru Allah kwa neema zake
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi