Khiyana ni jambo linalo ondoa uaminifu, na kuvunja nyoyo na kuporomosha heshima ya mtu.
Hivyo basi, usifanye khiyana katika vitu ulivyo pewa kuvisimamia, kwani kila amana ipo siku (watu) wataulizwa.
MAZINGATIO:
Ni wajibu kuwa na nia njema katika kuchunga amana
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi