​Na (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika kuwa: Kwa yakini,"

​Na (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika kuwa: Kwa yakini,"

​Na (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika kuwa: Kwa yakini,"

46 30

Na (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika kuwa: Kwa yakini, mimi nitamuweka Khalifa ardhini. Wakasema: Hivi unamuweka humo atakayefanya uharibifu humo na kumwaga damu, na wakati sisi tunakutakasa kwa kukusifu? (Allah) Akasema: Mimi ninajua msichokijua

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki