Watu ambao wanaunganisha yaliyo amrishwa na Allah kuunganishwa, hao ndiyo watapata mafanikio na rehema za Allah.
Basi, ni wajibu wetu kudumisha mahusiano mema ya kibinaadamu na kiimani kati yetu, kwani huo ni ufunguo wa kheri na baraka.
Tunachojifunza:
Kuunga undugu, kuwa na huruma ni katika imani.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi