​Unapokutana na upuuzi na maneno mabaya, basi kumbuka muongozo.."

​Unapokutana na upuuzi na maneno mabaya, basi kumbuka muongozo.."

​Unapokutana na upuuzi na maneno mabaya, basi kumbuka muongozo.."

15 9

Unapokutana na upuuzi na maneno mabaya, basi kumbuka muongozo kuwa Muumini wa kweli huwa anajitenga na hayo na kuchagua salama. Bali inatakiwa kuwa mzuri wa majibu kwa kusema:

“Matendo yetu ni yetu, na yenu ni yenu, na sisi Waislamu hatutaki kujibizana na wajinga”.

Tunajifunza kuwa:

Katika tabia njema ni kujiepusha na batili.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki